CCM ya Marekani imeanguka kwa kishindo. Propaganda zina mwisho

Tatizo marekani hawajaoba kura...ccm ana uwezo sana maeneo mengi yakujihakikishia ushindi
 
Acheni upuuzi wa kijinga.
Tangu lini CCM ikawa na uhusiano wa kisiasa na Democrats au Republicans?
Mnajitekenya na kucheka wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…