CCM ya Mkapa na JK iliua njia kuu za usafirishaji kuneemesha matajiri, CCM ya Magufuli yasifika kwa kuuresha Matajiri waishi kama Mashetani

Mahakama ya mafisadi haiwezi fanya kazi sababu wateja wake wakuu ni ccm.
 
Ukumbuke magu ndiye aliyekuwa waziri wa miundombinu kwa miaka 10 na ndiye aliyeua reli ya kaskazini.
 
Ukumbuke magu ndiye aliyekuwa waziri wa miundombinu kwa miaka 10 na ndiye aliyeua reli ya kaskazini.
Si kweli kwani kuwa na barabara dhaifu inategemea na mfuko wenu. Barabara zilikuwa kwa kiwango cha kupitisha mwisho tani 30 tu kwani ADB ndio mkopo na designe ya barabara walizotaka kipindi kile. Sasa ulafi wa viongizi ukawa unapitisha zaidi ya tani 60, ikapelekea awe mkali kuweka mizani mingi. Ndipo katika serikali ya mkwele alipelekwa kwenye wizara ya minofu. Hatujasahau kulishwa sumu ambayo ameisema kwenye uzinduzi wa kitabu cha Mkapa My Life
 
Tusihishi kwa visasi.Tanzania ya Magufuli ni Tanzania mpya kila kitu kitakaa sawa.
 
Tusihishi kwa visasi.Tanzania ya Magufuli ni Tanzania mpya kila kitu kitakaa sawa.
Yeye ndiye mwenye visasi hii inajulikana sana, anasahau kwamba miaka mitano kesho tu. Wapo waliokaa madarakani miaka 40 lakini walipotoka tu wakajikuta wamewekwa kwenye cages kama huyu Hosni Mubarak wa Misri. Alikuwa na nguvu na fedha nyingi sana lakini mwishoni kila mtu alimkimbia.
 
Awe mkapa, jk, mwinyi, magu, wote ni ccm ya madudu your hayo. Nchi inekiwa katika majaribu makubwa hii
 
Makosa yao yalikuwa katika uteuzi wa mtu aliyeitwa John Pombe Joseph Magufuli kuwa Waziri aliyehusika na usafiri wa Treni na ujenzi wa barabara. Treni zilisitishwa na kuruhusu watu wajenge juu ya reli na kuachia barabara zijengwe chini ya kiwango. Mambo mengi yaliharibika sana Kama yanavyoharibika sasa kwa sababu huyo Waziri hakuwa na uwezo wa kusimamia Wizara husika hata inashangaza ilikuwaje akawa Waziri kwa miaka 20 akifanya madudu. Marais wastaafu walaumiwe kwa hilo.
 
akiwa waziri bwana Magufuli aliuza nyumba za umma kwa ndugu na hawala
 
Punguza strees za kukosa ajira ya kufanya hapa mjini.
pambana acha kulialia.
kuna wananchi waliporwa ardhi na matajiri na mambo mengine meengi lakini Rais Magufuli anapambana usiku na mchana kuhakikisha haki ya mtu haipotei.
 
Huyu waziribwakati ule alikuwa anaigiliwa sana, kunakipindi alitaka kujiuzuru baada ya Pinda kutaka wafanyabiashara wa maroli kupitisha mizigo mikubwa. Msisahau misukosuko aliyopewa kipindi hicho
 
Huyu Mwingereza ndo mmiliki wa Virgin Airways na ndege zake zinakwenda karibu nchi zote ambako British Airways, Shirika la Serikali ya Uingereza, linakwenda. Biashara hii ya usafiri wa Anga au biashara yoyote zinashindana kwa ubora wa huduma kwa wateja na siyo kwa ubabe au monopoly maana pamoja na mbabe kuwa na kila kitu anaweza akakwama kwa kitu kidogo tu ambacho mshindani wake ingawa ni mdogo anaweza akawa wa msaada mkubwa. ATCL ina cha kujifunza hapa bila kutumia ubabe kuwaondoa washindani.
 
Yaani ndege yetu ya eagle air, fast jet zimeondolewa kwa zengwe ili watuletee ndege za kutupiga bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…