CCM ya Mkapa na JK iliua njia kuu za usafirishaji kuneemesha matajiri, CCM ya Magufuli yasifika kwa kuuresha Matajiri waishi kama Mashetani

Yupo chama gani hiyo uliyemtaja?Hoja ni kwa nini walioliingiza Taifa hasara kama zilizoainishwa?Sifa kwa awamu zilizooita ingefaa tuone wahalifu wote washughulikiwe kwa usawa na haki bila kubagua itikadi.
Kwa kuwa hata mahakama ya mafisadi imeshindikana kufanya iliyotarajiwa,tuigeuze kuwa mahakama ya maridhiano ili tujue wamesamehew?
Mahakama ya mafisadi haiwezi fanya kazi sababu wateja wake wakuu ni ccm.
 
Wana Jf,

Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo.

walioshiriki kuua njia hizi ni hizi tawala za Mkapa na Jk, mfano. Mkoa wa Kagera, Katavi bei ya vitu kama sukari, cement , mabati nchi nzima ilikuwa sawa,lakini baada ya kumaliza kujenga barabara ya lami dar- mtukula hujuma mbali mbali zilianza, Mara waangushe treni za mizigo, Mara za abiria. Tulishuhudia watu wengi wakifa, njia hii ikawa sio ya uhakika tena.

jinsi Mkapa na JK walivyosababisha kufa kwa usafiri wa UMMA hilo hawawezi kulikwepa kwani baada ya kufa usafiri wa reli kulijitokeza makampuni mengi ya kusafirisha mafuta, vifaa vya ujenzi, chakula, kila kitu kilipanda mpaka watu walitamani kutumia bidhaa za nchi za jirani.

Haya maroli ndio yanayotesa barabara zetu mpaka Leo, barabara zimekuwa za marekebisho ya Mara kwa Mara huku tukitumia gharama kubwa ambazo zingeepukika.

Hili swala LA kusifia Ccm ya Magufuri kwa kurejesha usafiri wa reli ni LA kushangaza mno kwani waliohua reli hizi wapo. Ifike hatua waliotenda makosa ya makusudi nao washitakiwe angalau walipe gharama kwa makosa waliyoyatenda . Haiwezekani unaua NASaCO, UDA, KIUTA, NMC alafu unaachwa ili watakaofanya kazi ya kufufua ndio waonekane watendaji makini.
Ukumbuke magu ndiye aliyekuwa waziri wa miundombinu kwa miaka 10 na ndiye aliyeua reli ya kaskazini.
 
Si kweli kwani kuwa na barabara dhaifu inategemea na mfuko wenu. Barabara zilikuwa kwa kiwango cha kupitisha mwisho tani 30 tu kwani ADB ndio mkopo na designe ya barabara walizotaka kipindi kile. Sasa ulafi wa viongizi ukawa unapitisha zaidi ya tani 60, ikapelekea awe mkali kuweka mizani mingi. Ndipo katika serikali ya mkwele alipelekwa kwenye wizara ya minofu. Hatujasahau kulishwa sumu ambayo ameisema kwenye uzinduzi wa kitabu cha Mkapa My Life
 
Tusihishi kwa visasi.Tanzania ya Magufuli ni Tanzania mpya kila kitu kitakaa sawa.
 
Yeye ndiye mwenye visasi hii inajulikana sana, anasahau kwamba miaka mitano kesho tu. Wapo waliokaa madarakani miaka 40 lakini walipotoka tu wakajikuta wamewekwa kwenye cages kama huyu Hosni Mubarak wa Misri. Alikuwa na nguvu na fedha nyingi sana lakini mwishoni kila mtu alimkimbia.
1594118026852.png
 
Awe mkapa, jk, mwinyi, magu, wote ni ccm ya madudu your hayo. Nchi inekiwa katika majaribu makubwa hii
 
Wana Jf,

Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo.

walioshiriki kuua njia hizi ni hizi tawala za Mkapa na Jk, mfano. Mkoa wa Kagera, Katavi bei ya vitu kama sukari, cement , mabati nchi nzima ilikuwa sawa,lakini baada ya kumaliza kujenga barabara ya lami dar- mtukula hujuma mbali mbali zilianza, Mara waangushe treni za mizigo, Mara za abiria. Tulishuhudia watu wengi wakifa, njia hii ikawa sio ya uhakika tena.

jinsi Mkapa na JK walivyosababisha kufa kwa usafiri wa UMMA hilo hawawezi kulikwepa kwani baada ya kufa usafiri wa reli kulijitokeza makampuni mengi ya kusafirisha mafuta, vifaa vya ujenzi, chakula, kila kitu kilipanda mpaka watu walitamani kutumia bidhaa za nchi za jirani.

Haya maroli ndio yanayotesa barabara zetu mpaka Leo, barabara zimekuwa za marekebisho ya Mara kwa Mara huku tukitumia gharama kubwa ambazo zingeepukika.

Hili swala LA kusifia Ccm ya Magufuri kwa kurejesha usafiri wa reli ni LA kushangaza mno kwani waliohua reli hizi wapo. Ifike hatua waliotenda makosa ya makusudi nao washitakiwe angalau walipe gharama kwa makosa waliyoyatenda . Haiwezekani unaua NASaCO, UDA, KIUTA, NMC alafu unaachwa ili watakaofanya kazi ya kufufua ndio waonekane watendaji makini.
Makosa yao yalikuwa katika uteuzi wa mtu aliyeitwa John Pombe Joseph Magufuli kuwa Waziri aliyehusika na usafiri wa Treni na ujenzi wa barabara. Treni zilisitishwa na kuruhusu watu wajenge juu ya reli na kuachia barabara zijengwe chini ya kiwango. Mambo mengi yaliharibika sana Kama yanavyoharibika sasa kwa sababu huyo Waziri hakuwa na uwezo wa kusimamia Wizara husika hata inashangaza ilikuwaje akawa Waziri kwa miaka 20 akifanya madudu. Marais wastaafu walaumiwe kwa hilo.
 
Hizo treni hazikuwa na uwezo wa kuhudumia nchi nzima usafiri, zilijengwa na mjerumani mwaka 1908 wakati huo Tanganyika ilikuwa na watu chini ya milioni 8, sasa ivi tuko milioni 54! Serikali ipige marufuku usafiri wa mabasi na malori ya mizigo hata wiki 1 tu uone shida itakayotokea, mijitu mingine hizi akili za kitaahira sijui mnatoaga wapi.
akiwa waziri bwana Magufuli aliuza nyumba za umma kwa ndugu na hawala
 
Yeye ndiye mwenye visasi hii inajulikana sana, anasahau kwamba miaka mitano kesho tu. Wapo waliokaa madarakani miaka 40 lakini walipotoka tu wakajikuta wamewekwa kwenye cages kama huyu Hosni Mubarak wa Misri. Alikuwa na nguvu na fedha nyingi sana lakini mwishoni kila mtu alimkimbia.
View attachment 1499879
Punguza strees za kukosa ajira ya kufanya hapa mjini.
pambana acha kulialia.
kuna wananchi waliporwa ardhi na matajiri na mambo mengine meengi lakini Rais Magufuli anapambana usiku na mchana kuhakikisha haki ya mtu haipotei.
 
Makosa yao yalikuwa katika uteuzi wa mtu aliyeitwa John Pombe Joseph Magufuli kuwa Waziri aliyehusika na usafiri wa Treni na ujenzi wa barabara. Treni zilisitishwa na kuruhusu watu wajenge juu ya reli na kuachia barabara zijengwe chini ya kiwango. Mambo mengi yaliharibika sana Kama yanavyoharibika sasa kwa sababu huyo Waziri hakuwa na uwezo wa kusimamia Wizara husika hata inashangaza ilikuwaje akawa Waziri kwa miaka 20 akifanya madudu. Marais wastaafu walaumiwe kwa hilo.
Huyu waziribwakati ule alikuwa anaigiliwa sana, kunakipindi alitaka kujiuzuru baada ya Pinda kutaka wafanyabiashara wa maroli kupitisha mizigo mikubwa. Msisahau misukosuko aliyopewa kipindi hicho
 
Kazi kubwa ya serikali ni kwela mifumo mizuri ya biashara na kukusanya kodi. Serikali inalinda biashara za matajiri kwa kuwakopesha na kuwapa likizo ya malipo wakifikwa na majanga.

Richard Branson Mwingereza aliyejikita kwenye sekta ya biashara ya usafiri. Ana trains na ndege. Serikali yake inatambua umuhimu wake. Analipa kodi na ameajiri watu wanaolipa kodi na kuweza kuendesha maisha pasi kutegemea hand outs za serikali.
Huyu Mwingereza ndo mmiliki wa Virgin Airways na ndege zake zinakwenda karibu nchi zote ambako British Airways, Shirika la Serikali ya Uingereza, linakwenda. Biashara hii ya usafiri wa Anga au biashara yoyote zinashindana kwa ubora wa huduma kwa wateja na siyo kwa ubabe au monopoly maana pamoja na mbabe kuwa na kila kitu anaweza akakwama kwa kitu kidogo tu ambacho mshindani wake ingawa ni mdogo anaweza akawa wa msaada mkubwa. ATCL ina cha kujifunza hapa bila kutumia ubabe kuwaondoa washindani.
 
Yaani ndege yetu ya eagle air, fast jet zimeondolewa kwa zengwe ili watuletee ndege za kutupiga bei
 
Back
Top Bottom