Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watanzania siku za karibuni wamekuwa more and more evi,more and more degenerate. Kuna matatizo makubwa sana ya wealth distribution.
Watu wachache Ni matajiri na wengi ni maskini. Hivi ndio nchi zinavyoanguka. Ukitazama Civilization za zamani za Greece and Rome,zilianguka kwa sababu hizi hizi za polarization of wealth and the degeneracy of the people.
Watu wanaishi bila Mwongozi wa maisha.
Zamani Chama kilikuwa kinawapa Watanzania Mwongozi. Halafu watu wengine katika Chama wakawa wanalalamika, wanasema miongozi imezidi. Unaikumbuka ibara ya kumi na tano ya Mwongozo, kiongozi asiwe mnyapara? Je,watu siku hizi wanaishi kufuatana na maadili hayo?
Kuwa mnyapara ndio uongozi sasa. Kiongozi anakemea tu watu, anakejeli watu,kwa sababu he does not know that there is a better way to act. Tunaposema viongozi tunamaanisha pia hao watu wa Usalama ambao wanafanya utesaji wakati mwingine.
Sasa the society is degenerating. Imekuwa Sasa hata mapadre wanatuhumiwa kulawiti.
Wakiulizwa,nao wanajua jinsi ya kujibu,"Mbona kuna rushes Serikalini na sisi hatulalamiki?"
Wakati ule Wazee wa Chama walikuwa wanasema,"Hiki Chama,there are too many illeterate people." Ndio wakakaribishwa akina Kikwete,Ditopile Mzuzuri,kukipa Chama uhai.
Lakini ni mambo gani yanafanyika katika hii CCM ya Samia Suluhu?
Tunakwenda kweli to The Promised Land?