CCM yaachwa solemba

CCM yaachwa solemba

nawapongeza mamburura wa upinzani mtaendelea kuwa wapinzani tu,hamna jipya zaidi kujipa moyo ndani ya jf,nyie wote mmesoma kwa serikali hii hii ya ccm,tofaut na hapo ni hakuna zaidi nyie mateja tu
 
Usitake kuharalisha hoja yako kwa kujinasibisha kama wewe ni mwanaCCM na unafanya kazi ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM, Lumumba.Kila mara unaleta uwongo na uzandiki hapa JF kutaka kuwaaminisha wanaJF.Tunakufahamu vizuri sana ila sheria za JF hazituruhusu kuwambia wanaJF uhalisia wako.Uwongo siyo nguzo imara na uwongo mara nyingi huwa ni siraha ya muda mfupi.Endelea kuwadanganya wanaJF.
Duh! umeamua kumtosa kada mwenzio hivihivi! kisa kasema ukweli...magamba yana kazi mwaka huu!
 
CCM wana vituko.Kuwa na marais 2 na makam 3 upande wa muungano na Zanzibar siyo gharama.Gharama ni kuwa na serekali ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom