Usitake kuharalisha hoja yako kwa kujinasibisha kama wewe ni mwanaCCM na unafanya kazi ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM, Lumumba.Kila mara unaleta uwongo na uzandiki hapa JF kutaka kuwaaminisha wanaJF.Tunakufahamu vizuri sana ila sheria za JF hazituruhusu kuwambia wanaJF uhalisia wako.Uwongo siyo nguzo imara na uwongo mara nyingi huwa ni siraha ya muda mfupi.Endelea kuwadanganya wanaJF.