Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ni muda wa waganga kutengeneza pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Tulia. Chaguo la wana mbeya.View attachment 1483602
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda .
Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda uliowekwa na tume huku vyama vyote vikishiriki .
View attachment 1483608
View attachment 1483602

Dr. Tulia. Chaguo la wana mbeya.
usimuamshe aliyelalaWaliompeleka Tulia Mbeya mjini wamemuingiza chaka!!
Wengine tunapenda majeneza anayojitwishaDr. Tulia. Chaguo la wana mbeya.
Hiyo picha ya pili, kuna mtu amevaa raba na jaketi lilelile, akamechisha na shati na akaichomekea kwenye suruali ya kitambaa....[emoji23][emoji23][emoji23]