Elections 2010 CCM yaanza kuchota toka kwenye Ilani ya CHADEMA



Yeah, CHADEMA inatakiwa waje na kampeni zenye ubunifu wa hali ya juu, ambazo sisiem hawawezi iga kabisa, wazo lako ni zuri na inawezekana kabisa kuweka Screen kubwa na kuelezea mikakati mbali mbali huku wakionyesha picha.

Kwa mfano, atakapo fafanua orodha ya mafisadi papa na nyangumi picha inakuwa Displayed .... kwa mfano kwenye tovuti ya chadema Mafisadi 11 wametajwa na picha zao zimeambatanishwa, http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=16&pg=110
 

.
Nilikua namaanisha Karatu mkuu. Na kama mbulu kuna dalili za kunyakuliwa na chadema basi hizi ni habari njema pia masikioni mwa wapenda maendeleo.
 
Ni kweli, ilani zilizoandikwa vizuri bila watendaji wazuri hazitusaidii sana. Sema tu kunakuwa na advanatage kubwa kwa chama chenye ilani nzuri na pia kinaonekana kuwa na mgombea bora/swaaafi!
 
CCM hata uwape ilani ya namna gani haitatekelezeka!

...na hili alishawahi kulisemea Mkapa miaka kadhaa hapo nyuma.
JK kaahidi watu wa kanda ya Ziwa meli kubwa zaidi ya ile iliyozama ya MV Bukoba, kabla hajaondoka madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…