McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufunguliwa kwa fomu za kugombea nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, wanachama wa CCM wenye sifa au wabunge wateule wanaruhusiwa kuchukua fomu tarehe 3 hadi 4 Novemba 2025 katika ofisi za chama Dodoma, Lumumba jijini Dar es Salaam na Kisiwandui Zanzibar.
Waombaji wanatakiwa kurejesha fomu kabla ya saa 10:00 jioni tarehe 4 Novemba 2025.