Nchi yao, Ikulu yao, Rais wao, na Chama chao.. nyinyi wengine wapangaji...
Okay bado wako ndani ya kikao kitaisha in one hour, hopefully tutakuwa na some dataz just fasten your belt,
Mkulu Lunyungu ni PM upo wapi hapo Dodoma?
Sababu tosha ya kulifagilia mbali hili genge la wezi na wasanii kabla taifa halijaangamia zaidi.
Ndiyo Mkuu Idodomya hapa kwa siku kadhaa sasa .Nakuletea info napatikana wapi .
Shamba la Bwana Kheri na Mbuzi wa Bwana Kheri acha wajimwae....
Haya ni mawazo yako, maana hazuiwi awaye yote kutoa mawazo yake.
Wasiwasi wangu ni kuwa wewe ni mwana CCM pasee moyoni mwako.
Ninakutakia kila la kheri na karibu tena CCM.
Habari za ndani ya kikao cha CC nilizozipata sasa hivi ni kwamba, kamati kuu ya CCM iameamua kuwafuta wagombea wote wa UV-CCM kutoka Bara, na kuamua kuwachukuwa wagombea watatu toka Zanzibar tu kugombea kiinyanga'nyiro hicho.......... stay tuned kwa more dataz!
We will beright backkkkk! Ooh I love it! JF Where We Dare!
Field Marshall,
Je ni dalili za "TUJISAHIHISHE", ama ni funika kombe....?