CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

Tizama hili list:

1. Samia Suluhu Hassan
2. Abdulrahman Omari Kinana
3. Hussein Ali Mwinyi
4. Mohamed Said Mohamed (Dimwa)
5. Sophia Edward Mjema - (mla pweza na tende huyu majina yake yasikuchanganye)
6. Majaliwa Kassim Majaliwa
7. Zuberi Ali Maulid
8. Hassan Wakasuvi
9. Halima Mamuya
10. Mohamed Abood Mohamed
11. Nasri Ally Juma
12. Leyla Burhan Ngozi
13. Fadhil Maganya
14. Mohamed Ali Mohamed (Kawaida)
15. Mbarouk Nassor Mbarouk
16. Issa Haji Ussi (Gavu)
Hii ni Shura ya maimamu
 
Wachaga wamekumbukwa

Ahaaaa ahaaaaaa haaaaa

Wachaga tena

mmmmmmm mmmmmmh

Wezi wamekumbukwa, Aaaaah

Anamringi Macha

mmh Siamini kabisa

Wachaga wamekumbukwa safari hii

Nakubaliana na wote ila sio na mchaga anayeitwa Anamringi Macha

Wachaga na ccm wapi na wapi

Mwenyekiti fukuza hiyo Anamringi Macha

Wachaga hawaaminiki ni vigeu geu

Wachaga hawafai walimtukana Mzee lowasa na kumsafisha

Anamringi Macha, mmmmh

Wachaga ni opportunist

Huyo Anamringi Macha labda kama mchaga koko wa Dar es Salaam ndio anafaa

Ila kama AnaMringi ni mchaga pure hafai kuwa kiongozi ndani ya ccm
Hiki chama cha wajinga, mnawarudisha nyuma wachagga kwa kuwateua kwenye chama cha wajinga.
 
Back
Top Bottom