CCM yafanya uteuzi wa Wagombea 9 kujaza nafasi 3 za Bunge la Afrika Mashariki

CCM yafanya uteuzi wa Wagombea 9 kujaza nafasi 3 za Bunge la Afrika Mashariki

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa wagombea tisa (9) wa CCM kujaza nafasi tatu (3) katika Bunge la Afrika Mashariki kama ifuatavyo:-

A. Nafasi mbili (2) Wanaume Bara
1 Ndugu Stephen Lujwahuka BYABATO
2 Ndugu Cosato David CHUMI
3 Ndugu Jabir Jafar BWANIKA
4 Ndugu Paschal Lawrence MASALU
5 Dkt. Suleiman Hassan SERERA
6 Ndugu Kambarage Masato WASIRA
B. Nafasi moja (1) Wanawake Bara
1 Ndugu Chikulupi Njelu KASAKA
2 Ndugu Fatuma Abdallah KANGE
3 Ndugu Jesca Julias MSHAMA

Kura za maoni zitapigwa katika kikao cha Wabunge wote wa CCM kitakachofanyika tarehe 30/04/2026 saa 7 mchana jijini Dodoma.

photo_2026-04-29_06-00-50.jpg
photo_2026-04-29_06-00-55.jpg
 
Back
Top Bottom