LGE2024 CCM yahimiza waliochaguliwa kuwatumikia wananchi

LGE2024 CCM yahimiza waliochaguliwa kuwatumikia wananchi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.

Akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano uliofanyika jimbo la Lindi mjini, Katibu wa CCM mkoa wa Lindi Barnaba Essau kutokana na wananchi Kuendelea kukiamini hicho wanalodeni kubwa la kuhakikisha wananchi wanatumikiwa ipasvyo.
IMG_1214.jpeg

Kwa upande wake mbunge wa jimbo la Lindi mjini Hamida Abdallah licha ya kuwapongeza viongozi hao wa mitaa, vijiji na vitongoji kwa kuchaguliwa amesema wameona ipo haja ya kurudi kwa wananchi kuwashukuru wanachi kwakukiamini Chama cha Mapinduzi na kukipa ushindi.
 
Back
Top Bottom