CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
8F188AB1-617E-4FCF-94AB-6C582A90AEE9.jpeg
 
Huu ni ushindi wa % ngapi? Ina maana Chadema walisusa mbona naona ACT pekee
 
Kitendo cha kuwabambikia watu kesi watu wasio na hatia ni ukiukwaji wa HAKI ya mwanadamu. Watu wengi wapo magerezani kwa kuwabambikia kesi. Tendeni HAKI kwanza kabla ya kugawiana uongozi
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864

Wapiga kura 100,000+ watoke wapi kwenye huo uchaguzi chini ya tume hii ya kihuni? Wapiga kura kama ni wengi hakuvunja hata 5,000. Wananchi wameshapuuza hizo chaguzi za kishenzi.
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Chadema japo hawakishiriki ila watapinga matokeo
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Kwa ushindi naomba pongezi ziwafikie wafuatao,

1. Mhe Shaka Hamdu Shaka

2. Mhe Kenani Kihongosi

3. Mhe Mizengo Pinda

4. Mhe Patrobas Katambi

5. Mhe Hussein Bashe

6. Mhe Mariam Ditopile

7. Mhe Kiswaga

8. Viongozi wote wa chama tangu tawi hadi Mkoa,

VIVA CCM VIVA || VIVA SAMIA VIVA
 
Ushindi kwa Sasa uko wazi majimbo yote TZ bara kwa 100%. MTAKAWA Mnachukua, mnaweka, waaaa!
Sababu ya hili ni TUME KUTOKUWA HURU!
MIKUTANO YA SIASA iruhusiwe na Tume iwe huru.
Tuone mashindano ya KWELI!
 
Pale wafungaji wanaposifiwa umahiri wao wa kufunga, huku goli likiwa wazi bila timu ya upinzani. Hapa ndio wazungu wanapotuita manyani. Yaani mzee Miizengo Pinda naye anaacha wajukuu anakwenda kabisa kupiga kampeni kwenye uchaguzi ambao wapiga kura hawafiki hata 10,000?! Kweli tumekuwa tukiongozwa na watu wajinga ajabu, bonge la aibu. Angekuwa mzazi wangu ningemwambia aachi kuidhalilisha familia.
ushindi naomba pongezi ziwafikie wafuatao,

1. Mhe Shaka Hamdu Shaka

2. Mhe Kenani Kihongosi

3. Mhe Mizengo Pinda

4. Mhe Patrobas Katambi

5. Mhe Hussein Bashe

6. Mhe Mariam Ditopile

7. Mhe Kiswaga

8. Viongozi wote wa chama tangu tawi hadi Mkoa,

VIVA CCM VIVA || VIVA SAMIA VIVA
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Yani bado mtindo wa JIWE kwenye uchaguzi kupika takwimu unaendelea? Hao wapiga kura 100000+ watoke wapi? Hovyo kabisa!
 
CCM A imepambana na mkono wake ACT Wazalendo, very funny
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
 
ndg wana habari ,mgombea wa chadema ameambulia ziro,yaani yeye mwenyewe hajiamini hadi ameshindwa kujipigia kura na mkewe nae ameshindwa kumpigia mmewe kwa sababu ndani ya familia ni bingwa wa kulalamika kwa kweli ni shiiiiiiida.
 
Aibu kubwa kwa CCM, ukiona chama kinapata ushindi wa zaidi ya90% Jiongeze!
 
CCM wanafanya kila juhudi ili kurudisha ukabila,Wanasiasa msije kuiangamiza jamii yaani watu mnafanya kampeni kwa kuongea Kisukuma?chonde chonde!
 
Back
Top Bottom