CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
😍
 
ndg wana habari ,mgombea wa chadema ameambulia ziro,yaani yeye mwenyewe hajiamini hadi ameshindwa kujipigia kura na mkewe nae ameshindwa kumpigia mmewe kwa sababu ndani ya familia ni bingwa wa kulalamika kwa kweli ni shiiiiiiida.
Naona upo shimoni. Haujui yanayo endeleaDuniani!
 
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357

Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
AcT wametusababishia hasara ya kodi zetu
 
Back
Top Bottom