Kijani washirika haoHuu ni ushindi wa % ngapi? Ina maana Chadema walisusa mbona naona ACT pekee
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Chadema japo hawakishiriki ila watapinga matokeoMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Kwa ushindi naomba pongezi ziwafikie wafuatao,Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Ushindi kwa Sasa uko wazi majimbo yote TZ bara kwa 100%. MTAKAWA Mnachukua, mnaweka, waaaa!Kwa ushindi naomba pongezi ziwafikie wafuatao,
1. Mhe Shaka Hamdu Shaka
2. Mhe Kenani Kihongosi
3. Mhe Mizengo Pinda
4. Mhe Patrobas Katambi
5. Mhe Hussein Bashe
6. Mhe Mariam Ditopile
7. Mhe Kiswaga
8. Viongozi wote wa chama tangu tawi hadi Mkoa,
VIVA CCM VIVA || VIVA SAMIA VIVA
ushindi naomba pongezi ziwafikie wafuatao,
1. Mhe Shaka Hamdu Shaka
2. Mhe Kenani Kihongosi
3. Mhe Mizengo Pinda
4. Mhe Patrobas Katambi
5. Mhe Hussein Bashe
6. Mhe Mariam Ditopile
7. Mhe Kiswaga
8. Viongozi wote wa chama tangu tawi hadi Mkoa,
VIVA CCM VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Kama haukushiriki tangu mwanzo, acha lipite hautapungukiwa kitu.Huu ni ushindi wa % ngapi? Ina maana Chadema walisusa mbona naona ACT pekee
Yani bado mtindo wa JIWE kwenye uchaguzi kupika takwimu unaendelea? Hao wapiga kura 100000+ watoke wapi? Hovyo kabisa!Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Umefurahi sana kada, naona CHADEMA inakufurukuta sana.Chadema japo hawakishiriki ila watapinga matokeo