Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😍Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864
Sina shaka una MIMBA yao!Chadema japo hawakishiriki ila watapinga matokeo
Fikra za ajabu kabisa 🤣🤣Aibu kubwa kwa CCM, ukiona chama kinapata ushindi wa zaidi ya90% Jiongeze!
Conspiracy theories.....CCM A imepambana na mkono wake ACT Wazalendo, very funny
Naona upo shimoni. Haujui yanayo endeleaDuniani!ndg wana habari ,mgombea wa chadema ameambulia ziro,yaani yeye mwenyewe hajiamini hadi ameshindwa kujipigia kura na mkewe nae ameshindwa kumpigia mmewe kwa sababu ndani ya familia ni bingwa wa kulalamika kwa kweli ni shiiiiiiida.
AcT wametusababishia hasara ya kodi zetuMsimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
View attachment 1969864