omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
kama alivyosema Mzee Mwanakijiji kuwa ni:
- mchakato feki
- tume feki
- rasimu feki (definitely itaishia)
- katiba feki!
Binafsi sijawahi kuona watawala waliotawala miaka zaidi ya 50 iliyopelekea wao kufaidika na mfumo wa ufisadi kukubali kubadilisha katiba ili iwanyanganye hiyo mianya ya kujinufaisha!
Hii serikali haiwezi kuleta Katiba Mpya, tuwe tu wavumilivu au kukubaliana na mawazo ya Mh. Zitto na Ben Saanane ya kufanya mapinduzi ili kuipata hiyo katiba!