PreGE2025 CCM yakanusha taarifa inayosambaa kuhusu kupitisha bakuli kwa wafanyabiashara

PreGE2025 CCM yakanusha taarifa inayosambaa kuhusu kupitisha bakuli kwa wafanyabiashara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Baada ya taarifa, kusambaa kwamba CCM inasambaza waraka ya kuomba hela za kampeni kwa wafanyabiashara, chama hicho kimeitokeza kujisafisha zikisema kuwa taarifa hizo ni za uongo

Soma pia: CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

photo_2025-05-19_12-57-02.jpg
 
Wanakanusha kitu gani ikiwa ndio tabia yao ya kuwaganda wafanyabiashara kwa maelewano ya kuwasamehe kodi
 
Back
Top Bottom