Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Kweli chama hiki kimekosa ushawishi na mbinu za kukubalika hadi wameamua kujichomeka katika maandamano ya hamasa za wana Yanga huko Mbagala Zakheem na mabango yao.
Wale wako kwenye raha zao za kuhamasishana kuhusu mechi yao ya Jumapili mambo ya siasa wapi na wapi?
Kwanza nani kawaambia kuwa Yanga ni mali ya CCM na kwamba wapenzi wa Yanga wote ni CCM?
Waache upuuzi basi! Kama wamekataliwa wakae pembeni maana wanaweza kuiharibia Yanga ikaonekana ni timu yao kiasi cha ikipokea kipigo ikazomewa kama club ya chama cha mambuzi.
**Picha will be posted soon