Ni Tawi la ChamaKumbe! Iko kwenye jumuia gani, vijana au wanawake?
Kumbe ndio maana ya kuitwa Upotolo?
Yanga haifananishwi na tuvitu vitu🏃Yanga ni CCM hutaki baki hivyo hivyo!
Yanga ilikuwepo kabla ya ccm,ccm(tanu) wakachukua rangi za yanga,maana hapo yanga ndiyo palikua mahala pamojawapo pa kukutania na kupanga mikakati,maana yanga ilikua timu ya weusi(wananchi) wakati ile nyingine ya wahindiYanga ni CCM hutaki baki hivyo hivyo!
Kwahiyo ni WamojaYanga ilikuwepo kabla ya ccm,ccm(tanu) wakachukua rangi za yanga,maana hapo yanga ndiyo palikua mahala pamojawapo pa kukutania na kupanga mikakati,maana yanga ilikua timu ya weusi(wananchi) wakati ile nyingine ya wahindi
Hata timu ya Taifa ya Brazil 🇧🇷 nao ni Yanga 🤣🤣🤣Ni Tawi la Chama
Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
Wewe unamzungumzia Jezi bwashee 😃Hata timu ya Taifa ya Brazil 🇧🇷 nao ni Yanga 🤣🤣🤣
Siyo kweli Yanga ilikuwepo kabla ya TANU,ASP na CCM yenyewe.Yanga na CCM ni ndugu ok, hujui historia ya nchi hii ilikoanzia na ndo maana unatokwa povu hapa.
We ujui unachokisema unanifanya nipate wasiwasi kuhusu level yako ya Elimu sorry for that, vijana wa kiafrika wa Dar Es Salaam (Young Africans) dhidi ya wakoloni na timu yao Simba (Sunderland)Siyo kweli Yanga ilikuwepo kabla ya TANU,ASP na CCM yenyewe.
Hiki Chama kimejaza mazuzu
Yanga ni CCM hutaki baki hivyo hivyo!
Duh!!!! Ila mnamkosea.sana Dr. Matola PhD