CCM yakosa ushawishi, yajichomeka shughuli za Yanga Dar

Yanga ilikuwepo kabla ya ccm,ccm(tanu) wakachukua rangi za yanga,maana hapo yanga ndiyo palikua mahala pamojawapo pa kukutania na kupanga mikakati,maana yanga ilikua timu ya weusi(wananchi) wakati ile nyingine ya wahindi
Hata GSM na Manji ni weusi tiiiii
 
We ujui unachokisema unanifanya nipate wasiwasi kuhusu level yako ya Elimu sorry for that, vijana wa kiafrika wa Dar Es Salaam (Young Africans) dhidi ya wakoloni na timu yao Simba (Sunderland)
Upumbavu mtupu
 
Nilipanga kwenda mpirani jumapili kama CCM wamejipenyeza nitatafuta sehemu nikae nimwagilie moyo wangu
 
Hiki Chama kimejaza mazuzu
Na ndio mantiki ya hoja hii. Sasa wakisema eti Yanga ndio CCM wanamaanisha na kukubali kuwa wale wasio ccm hawawakubali kuwa wafuasi wa Yanga?
Kama ni hivyo ALLY KAMWE au Hersi watangaze hilo rasmi watu waelewe.
Hata FIFA wakijua kuwa Club ya Yanga ni kundi shirikishi na chama cha siasa nawahakikishia hawatacheza tena mechi nyingine baada ya Mazembe.
Jee tukinukishe huko FIFA na CAF?
 
Kumbe! Iko kwenye jumuia gani, vijana au wanawake?
Kumbe ndio maana ya kuitwa Upotolo?
Yanga ilileta Uhuru wa Nji hii tangu kuanzishwa kwake 1937 wewe angalia rangi zake ni zile zile za CCM exactly. Soma kitabu cha Sheikh Mohamed Said upne jinsi Waislamu walivyoikomboa Tanganyika na Zanzibar na kuleta Uhuru kupitia Yanga. Jingo la Yanga lilinunuliwa na Rais Abedi Karume 1968 wakati wewe unakuba chawa kichwani.

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 

Nadhani wewe sio LGF bali hii ni cover-up ya LGBT na kuna unachotafuta kwangu na hutakipata sihusudu mchezo huo.
Hoja ni ya kawaida tuu, unaponitusi unaonyesha unanichokoza kama mbuzi jike kwa beberu!
 
We ujui unachokisema unanifanya nipate wasiwasi kuhusu level yako ya Elimu sorry for that, vijana wa kiafrika wa Dar Es Salaam (Young Africans) dhidi ya wakoloni na timu yao Simba (Sunderland)
Nina imani kwa ulichoandika hapa elimu yangu huwezi ifikia,1967 nimefanya Highway Mathematics ulikuwa hujazaliwa uenda.Sunderland ilianzishwa na Waarabu siyo wakoloni wetu.Halafu acha kuona watu hawajasoma,humu wapo watu wa kila aina.
 
Mbona ccm ilishajifia siku chache mara baada ya kifo cha baba wa taifa?
 
Wakati yanga inaanzishwa 1935 Mwalimu Nyerere ndio kwanza alikuwa na umri wa miaka 13 .
 
Simba na Yanga zinamilikiwa na Ccm, ukituliza akili yako ndio utalijuwa hilo.

Mo Dewji ni msomi na ana makampuni zaidi ya 60, jiulize ni Kwa nini mchakato wa Simba kwenye transformation haukamiliki? jibu ni kwamba mmiliki halisi bado hajakubali kuziachia timu zake.
 
Hata jengo la Simba ni Karume ndio alitowa pesa.

Sunderland ilikuwa timu ya waarabu Ccm ndio wakaipora kutoka Kwa Waarabu na kuipa jina la Kawawa, Simba wa Vita.
 
Wanajiingiza ingiza tu kwa kutumia dola kwa sababu wanajua watu wanaiogopa au kuiheshimu dola !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…