GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.
Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000
Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.
Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.
Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?