Uchaguzi 2020 CCM yamjibu Lissu kwenye elimu, Magufuli kuajiri walimu 13,000

Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.

Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000

Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.

Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.

Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?
Yaani kuajiri waalimu hadi Lisu aseme?!!!! Ama kweli usaniii umetamalaki.
 
Hata computer tuli ahidiwa 2015./. Zile 50m nazo vipi?
 
NINACHOWAPENDEA BAVICHA MNAJUA KUJIFARIJI ILA HUWA HAMFUATILII UHALISIA MTU ANAFANYA MIKUTANI 10 KWA SIKU NA YULE ANAEFANYA MKUTANO MMOJA YUPI YUPO SERIOUS NA KAMPENI ZAKE UCHAGUZI WA NCHI HII HAUMURIWI KWENYE VIWANJA VYA NDEGE UNAAMULIWA VIJIJINI NA HUKO NDIKO MAGU ANAWAFUATA WAAMUZI WA KURA
Acha upumbavu kwani tunangalia mikutano watz saizi tunataka kulipiza miiaka 5 mlio tutesa saiz kaeni pembeni mwangalie wengine wanaongozaje
 
hizo ajira kaanza kuziimba toka mwaka Jana ,JK aliiajiri 43000 kila mwaka yeye 13000 ambazo no matarajio
 
Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.

Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000

Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.

Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.

Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?
Kwann atangaze ,Leo alikuwa wapi kwa miaka mitano yote? Watanzania siyo wajinga hapo kama vile anataka anunue kura et hatudanganyiki
 
Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.

Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000

Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.

Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.

Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?
Ndo unaona umeandika kitu cha maana?
 
Back
Top Bottom