CCM ni wasanii, na wanajua hasa kuitumia Sanaa hiyo, umasikini na uduni wa elimu vijijini, kuendelea kutawala. Ahadi za ajira imekuwa ni adhana au kengere ya asubuhi kanisani. Serikali haina ubunifu wa kutunga sera za kuhamasisha wananchi kuanzisha miradi ya uzalishaji itakayo leta ajira. Sera ya mh magufuli ya kuwakomoa matajiri imeleta tabu.Kumbe ataajiri!!! Ni mangapi yaliahidiwa hadi leo hakuna?
Hatudanganyiki ng'o!!! Magufuli must go! Miaka mitano kwake inamtosha sana. Tunahitaji demokrasia sasa nchini mwetu! na siyo huu mfumo wa udikteta uchwara unao tutafuna kwa sasa.
Wanajisahau! Ukiwa mwongo jitahidi kutunza kumbukumbu. Elimu bure ilianza bila maandalizi. Msingi watoto wanambana mwl aandikapo ubaoni, baadhi vijijini wanakaa na kusomea chini ya miti, sekondari wengi waliokosa nafasi mwaka huu.KUNA SHIDA KWENYE VICHWA VYENU WALIMU 13K MTAAJIRI HIYO ELIMU BURE MLIKUWA MNAFUNDISHAJE BILE WALIMU,THIS IS VERY INSANE
He won't go, despite not winning election.Hatudanganyiki ng'o!!! Magufuli must go! Miaka mitano kwake inamtosha sana. Tunahitaji demokrasia sasa nchini mwetu! na siyo huu mfumo wa udikteta uchwara unao tutafuna kwa sasa.
kumbe lisu yuko sahihi - ataajiri siyo ameajiriWanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.
Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000
Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.
Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.
Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?
Uko sahihi, hakuna ubunifu kwa ajira za walimu. Wanafunzi wapo wa kumwaga. Simply jenga madarasa, tena kwa kuhamasisha wananchi, then ajiri walimu. Unawarundika watoto 100 kwenye chumba cha watoto 45, walimu wachache wanatumika kupita kiasi Lisa wamewaziba midomo na anakaribia kunyanyuka mkono kuhoji unamtimua kazi. Home work akitahidi mwl anatoa maswali 3 mara moja kwa mwezi. Atamudu vipi kusahihisha karatasi za watoto 100?Halafu ajira kama za waalimu ni ajira automated, haziitaji creation ya namna yoyote. Hata akija Hashim Rungwe na ubwabwa wake bado ajira za waalimu ziko palepale.
CCM Wanacheza na akili za watanzania...kwanini hakuajiri miaka 4 iliyopita?
..kwanini waliopo kazini hawajapandishwa madaraja na kuongezwa mishahara?
..na kwani TL alisema hataajiri waalimu?
Huyo ni tapeli ameshindwa kuongeza mishahara ya watumishi for 4 years, leo anasema nini?Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.
Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000
Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.
Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.
Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?
Hizo ajira miaka 5 iliyopita mlikuwa wapi? Je mna uthibitisho gani wa kuaminiwa kauli zenu?Wanabodi, sisi kama wana CCM tunaoshauri hapa mambo mengi sasa JPM anayajibu.
Leo Rais ametangaza ataajiri walimu wa msingi na sekondari zaidi ya 13,000
Hakika sasa hoja zinajibiwa kwa hoja. Mimi kama mwana CCM nitasimama na Rais na nitashauri zaidi.
Kilichobaki hapa Rais atangaze kupunguza riba ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Hii hoja ya elimu ilishapanguliwa sasa, tumebaki na hoja za TRA kufilisi watu, hoja ya bima ya afya kwa wote, hoja ya uhuru wa habari.
Soma huu uzi tulishauri: Je, CCM wataishinda CHADEMA kwa mbinu kuelekea Oktoba 2020?
Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe,Majariwa na Magufuri wote ni waalimu by professional lakin hawajashughurika kabisa na suala LA elimu na waalimu kiujumla zaidi ya elimu bure.Pia suala LA ajira za waalimu si sula LA majukwaani serikali hii imechezea sana vijana, wanatangaza kazi mnaaply graduates karibu wote lakini wanakuja kutoa ajira za walimu 200 tu.watuache tufanye maamuzi yetu kwnye sanduku LA kura.
NINACHOWAPENDEA BAVICHA MNAJUA KUJIFARIJI ILA HUWA HAMFUATILII UHALISIA MTU ANAFANYA MIKUTANI 10 KWA SIKU NA YULE ANAEFANYA MKUTANO MMOJA YUPI YUPO SERIOUS NA KAMPENI ZAKE UCHAGUZI WA NCHI HII HAUMURIWI KWENYE VIWANJA VYA NDEGE UNAAMULIWA VIJIJINI NA HUKO NDIKO MAGU ANAWAFUATA WAAMUZI WA KURAHatudanganyiki ng'o!!! Magufuli must go! Miaka mitano kwake inamtosha sana. Tunahitaji demokrasia sasa nchini mwetu! na siyo huu mfumo wa udikteta uchwara unao tutafuna kwa sasa.