Uchaguzi 2020 CCM yamjibu Lissu kwenye elimu, Magufuli kuajiri walimu 13,000

Yaani kuajiri waalimu hadi Lisu aseme?!!!! Ama kweli usaniii umetamalaki.
 
Hata computer tuli ahidiwa 2015./. Zile 50m nazo vipi?
 
Acha upumbavu kwani tunangalia mikutano watz saizi tunataka kulipiza miiaka 5 mlio tutesa saiz kaeni pembeni mwangalie wengine wanaongozaje
 
Magu ni tapeli wa kisiasa...Tapeli hapaswi kuaminiwa na yeyote.
 
hizo ajira kaanza kuziimba toka mwaka Jana ,JK aliiajiri 43000 kila mwaka yeye 13000 ambazo no matarajio
 
Kwann atangaze ,Leo alikuwa wapi kwa miaka mitano yote? Watanzania siyo wajinga hapo kama vile anataka anunue kura et hatudanganyiki
 
Ndo unaona umeandika kitu cha maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…