CCM yampendekeza Ndugai kuwania nafasi ya Spika na Dkt. Tulia kuwania Unaibu Spika katika Bunge lijalo

Hapo Jiwe anaandaa mazingira ya kulazimishwa ikifika 2025
 
Ndio anakwenda kubadili Katiba na kumfanya jiwe kuwa Rais asiye na kikomo.

Baada ya kuwashughulikia Akina Lissu ndani na nje ya Bunge.

CCM wamempitisha kichaa , Ndugai alisema ana cheti cha ukichaa mirembe.

Hatoshi.
Kwani kuna tatizo au ni 'Laana' kwa Rais Dk. Magufuli 'akiongoza' Milele au mpaka pale tu Yeye akichoka? Tena Mimi 'akiongoza' Milele nitafurahi.
 
Naona mwendelezo wa dhuluma na kubariki mfumo wa kifalme.
 
Kwani kuna tatizo au ni 'Laana' kwa Rais Dk. Magufuli 'akiongoza' Milele au mpaka pale Yeye akichoka? Tena Mimi 'akiongoza' Milele nitafurahi mno.
Ukiwa na akili fupi huwezi kuona madhara yake!
Hivi unadhani akifanya hivyo,ajaye naye si atataka iwe hivyo hivyo!Mwisho wa siku tutaanza kuwa taifa la kuviziana kupinduana kwa mtutu wa bunduki!
Tuseme nchi kama Ivory cost,unategemea siku akiingia mwingine atang'atuka kweli?
 
Siongelei hapa Rais ajaye kama usemavyo Wewe ila hapa ninamuongelea Rais Dk. Magufuli ambaye yupo na GENTAMYCINE nataka atawale Milele.
 
Ndio umeuliza shida iko wapi?Ndio nakueleza,huyu akionesha njia akatawala mpaka kufa,nani atamzuia na yeye asitawale mpaka kufa?
Au akili yako inaona tu ya leo?Grow up na tumia ubongo wako vema!
 
Jamaa la Magogoni limeanza kuwa na hofu ya kumtumia mwanasheria Tulia ila hata hivyo bunge bange la sasa hivi hata kingwendu anaweza kuwa spika maana Nazi waliyo nayo ni kusema ndiyo pale wanapoulizwa wanaoafiki waseme ndio
 
Ndio umeuliza shida iko wapi?Ndio nakueleza,huyu akionesha njia akatawala mpaka kufa,nani atamzuia na yeye asitawale mpaka kufa?
Au akili yako inaona tu ya leo?Grow up na tumia ubongo wako vema!
Sasa kama hutaki au hujapenda au unateseka kama si kuumia mno kuona Usiyempenda Rais Dk. JPM ndiyo Mshindi si unywe tu 'Sumu' ufe upesi?
 
Wamechukua fomu kama kawaida na chama kimewaidhinisha!

Tofauti ni kuwa Wabunge wateule wa Chama tawala safari hawajapiga kura kama tulivyozoea

Kidumu chama tawala

Kwa jinsi walivyoendesha bunge kwa kutii kila alichotaka Magufuli ningeshangaa sana kama asingewateua tena. Hicho kikao kilikaa kufuata formalities tu, lakini maamuzi yote alishafanya Magufuli.
 
Sasa kama hutaki au hujapenda au unateseka kama si kuumia mno kuona Usiyempenda Rais Dk. JPM ndiyo Mshindi si unywe tu 'Sumu' ufe upesi?
Umeshindwa hoja umekimbilia hayo?Mimi niko bar hapa nakunywa bia na maisha yanaendelea!
Ila inapohitajika tunawaelimisha vilaza msiojitambua!
Kama uhahisi nateseka pole yako😁😁😁😁!Inaitwa charles glass,cheers!
 
Kwahiyo Kunywa 'Bia' Kwako ndiyo umeona ni sehemu ya 'Kujimwambafai' Kwangu au hapa Mtandaoni? Kuna Watu ni 'Wapumbavu' mno Duniani.
 
Hilo Bunge batiri, limeingia kwa njia haram
 
Ndio anakwenda kubadili Katiba na kumfanya jiwe kuwa Rais asiye na kikomo.

Baada ya kuwashughulikia Akina Lissu ndani na nje ya Bunge.

CCM wamempitisha kichaa , Ndugai alisema ana cheti cha ukichaa mirembe.

Hatoshi.
Acha mawazo ya kijinga jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom