Empirically
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 238
- 87
Kwani kuna tatizo au ni 'Laana' kwa Rais Dk. Magufuli 'akiongoza' Milele au mpaka pale tu Yeye akichoka? Tena Mimi 'akiongoza' Milele nitafurahi.Ndio anakwenda kubadili Katiba na kumfanya jiwe kuwa Rais asiye na kikomo.
Baada ya kuwashughulikia Akina Lissu ndani na nje ya Bunge.
CCM wamempitisha kichaa , Ndugai alisema ana cheti cha ukichaa mirembe.
Hatoshi.
Ukiwa na akili fupi huwezi kuona madhara yake!Kwani kuna tatizo au ni 'Laana' kwa Rais Dk. Magufuli 'akiongoza' Milele au mpaka pale Yeye akichoka? Tena Mimi 'akiongoza' Milele nitafurahi mno.
Siongelei hapa Rais ajaye kama usemavyo Wewe ila hapa ninamuongelea Rais Dk. Magufuli ambaye yupo na GENTAMYCINE nataka atawale Milele.Ukiwa na akili fupi huwezi kuona madhara yake!
Hivi unadhani akifanya hivyo,ajaye naye si atataka iwe hivyo hivyo!Mwisho wa siku tutaanza kuwa taifa la kuviziana kupinduana kwa mtutu wa bunduki!
Tuseme nchi kama Ivory cost,unategemea siku akiingia mwingine atang'atuka kweli?
Ndio umeuliza shida iko wapi?Ndio nakueleza,huyu akionesha njia akatawala mpaka kufa,nani atamzuia na yeye asitawale mpaka kufa?Siongelei hapa Rais ajaye kama usemavyo Wewe ila hapa ninamuongelea Rais Dk. Magufuli ambaye yupo na GENTAMYCINE nataka atawale Milele.
Sasa kama hutaki au hujapenda au unateseka kama si kuumia mno kuona Usiyempenda Rais Dk. JPM ndiyo Mshindi si unywe tu 'Sumu' ufe upesi?Ndio umeuliza shida iko wapi?Ndio nakueleza,huyu akionesha njia akatawala mpaka kufa,nani atamzuia na yeye asitawale mpaka kufa?
Au akili yako inaona tu ya leo?Grow up na tumia ubongo wako vema!
majinga na haomazombies wataota sugu mikononi ila ndio hivyo tena tumboZile meza bungeni zitagongwa safari hii mpaka zivunjike.
Wamechukua fomu kama kawaida na chama kimewaidhinisha!
Tofauti ni kuwa Wabunge wateule wa Chama tawala safari hawajapiga kura kama tulivyozoea
Kidumu chama tawala
Umeshindwa hoja umekimbilia hayo?Mimi niko bar hapa nakunywa bia na maisha yanaendelea!Sasa kama hutaki au hujapenda au unateseka kama si kuumia mno kuona Usiyempenda Rais Dk. JPM ndiyo Mshindi si unywe tu 'Sumu' ufe upesi?
Kwahiyo Kunywa 'Bia' Kwako ndiyo umeona ni sehemu ya 'Kujimwambafai' Kwangu au hapa Mtandaoni? Kuna Watu ni 'Wapumbavu' mno Duniani.Umeshindwa hoja umekimbilia hayo?Mimi niko bar hapa nakunywa bia na maisha yanaendelea!
Ila inapohitajika tunawaelimisha vilaza msiojitambua!
Kama uhahisi nateseka pole yakoππππ!Inaitwa charles glass,cheers!
Acha mawazo ya kijinga jikite kwenye madaNdio anakwenda kubadili Katiba na kumfanya jiwe kuwa Rais asiye na kikomo.
Baada ya kuwashughulikia Akina Lissu ndani na nje ya Bunge.
CCM wamempitisha kichaa , Ndugai alisema ana cheti cha ukichaa mirembe.
Hatoshi.