Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Naam aachane na siasa za bongo ni ubabaishajiHahaha vunja afanye biashara tu, chama kina wenyewe 😅
Sina noma nae maana sifa ya mwanaume ni kutupa ndoano, kadri uwezavyo.Naam aachane na siasa za bongo ni ubabaishaji
Ila Bora wamemwondoa tu,Maana angekuwa chawa tu kulinda biashara zakeLicha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunja Bei kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa.
Pia soma
~ Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale
~ Emmanuela Mtatifikolo ajitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi, imesema kuwa kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105
(7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa mgombea waCCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani, lililopo wilaya ya Iringa Vijijini ambapo Mgombea aliyeteuliwa ni Emmanuela Kaganda MTAFIKOLO.
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunja Bei kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani Mkoani Iringa.
Pia soma
~ Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale
~ Emmanuela Mtatifikolo ajitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Katibu Wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi, imesema kuwa kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105
(7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa mgombea waCCM kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani, lililopo wilaya ya Iringa Vijijini ambapo Mgombea aliyeteuliwa ni Emmanuela Kaganda MTAFIKOLO.
Hii kitu inawafanya CCM waonekane madikteta wallah! Nakumbuka Mbeya hii tabia iliwatesa miaka mingi! Mtu anayeongoza kura za maoni mwingine halafu wanaleta mgombea mwingine.Huu ndiyo Uhuni tunaoukataa. Kama Wananchi wanamtaka Vunja Bei lwa nini wanampa mtu mwingine? Kura za maoni zina maana gani hapa?
Hawangeweza kumpa yeye maana jimbo la iringa mjini mbunge ni kaka yake. Majimbo haya mawili yanapakana
dogo alikua anatoa sana rushwa kwa wajumbe ten ten kagawa san