CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

Mbunge wa Viti Maalum mh Bahati ameteuliwa na CCM kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya

Uchaguzi hii unafanyika baada ya Mbunge wa jimbo hilo kufariki katika Ajali ya iliyohusisha Pikipiki na Trekta

Jumaa kareem 😀

cc: Mshana jr Ufipa st
Kesha shinda kwa kishindo baada ya wagombea wa upinzani kukosea kuandika majina yao.
 
Back
Top Bottom