MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
2010 pia mkwere hakushindaUkweli ndio huo ccm haijawahi kushinda zanzibar katu na bara uchaguzi wa 2015 lowasa alishinda na 2020 lissu alishinda huku ccm ikishindishwa na dola lakini ipo siku aidha wananchi wataamua lao au dola itawaasi itawatema!!!
Na huku Bara kuanzia uchaguzi wa 2010 hawajawahi kushinda kwa kura halali. Na kwa kadiri miaka inavyozidi kwenda, kizazi cha CCM kinazidi kuondoka, ndio maana wanazidi kutumia vyombo vya dola waziwazi.Ukweli unauma sana. Tangu mfumo wa vyama vingi urudi CCM haijawahi kushinda Zanzibar.
Kimeshakufa, kwa sasa vyombo vya dola ndio pekee wanaficha aibu hiyo.Hiki chama ipo siku lazima kife
Nilifikiri chini ya ardhi, nini maana ya "chini ya uangalizi"? Kweni amekuwa assets za Mirathi?chini ya uangalizi