britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu!
Acheni kutumia Rushwa kupitisha wagombea maana haina afya Kwa Taifa maana CCM ndo Chama tawala nadhani hadi kwenye 2070 huko sasa tukiendekeza rushwa tutasababisha watu kutudharau!
Tatizo linaanza tunapojilinganisha kwamba Mbona Chadema wanapokea Rushwa! Kwani ni lazima tujilinganishe nao? Hapana Hapana Hapana
CCM inaendekeza vitu vidogo sana kwamba Bashiru kasema hiki na kile tusanasahu kuwadhibiti hawa wala na watoa rushwa ?
Mambo ya Bashiru hajielewi achaneni nayo ila RUSHWA RUSHWA KOMAA NAYO KABISA
Britanicca