GE2025 CCM yapasuka vipande viwili, wanachama hawaelewi wachague lipi! Ni huzuni kila upande!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.

Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.

Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂

Kijani toa neno raia tupone:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
 
Mpasuko kwa hisani ya bodiithibati
 
Naona Bavicha wanajiliwaza na kujifariji😀
 
Ndio mnavyojipa moyo hivyo wakiwa?🤣🤣🤣😆😆😆
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika kwenye uchaguzi wao kuwa hamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole😂
 
Mbona hapo hamjasema, mtaita majina yote mwaka huu🤣🤣
 
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.

Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.

Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂

Kijani toa neno raia tupone:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Chochea kuni......Chadema yasambaratika.
 
TAL anacheka hadi meno 32 nje akiwa selo.
 
Umesikia hii kuna watu leo wamepigiwa kura wakiwa makwao.😁😁😁😁😁

Zilizoharibika NI 3 .hapo ya Gwajima nadhani itakuwepo
 
Mwenye kanuni namba 17 ya vyama vya siasa atwambie inahusu Nini make unaambiwa Leo imevunjwa
 
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.

Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.

Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂

Kijani toa neno raia tupone:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Kwani imekuaje,huko kapita? Je mchujo wa wabunge ukoje??
 
Back
Top Bottom