Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Mpasuko kwa hisani ya bodiithibatiHivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.
Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂
Kijani toa neno raia tupone
Ndio mnavyojipa moyo hivyo wakiwa?🤣🤣🤣😆😆😆Naona Bavicha wanajiliwaza na kujifariji😀
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika kwenye uchaguzi wao kuwa hamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole😂Ndio mnavyojipa moyo hivyo wakiwa?🤣🤣🤣😆😆😆
Na wenyewe ndio wanaipadua kama hivi sasa🤣🤣CCM ina wenyewe na ni ile ile aliimba Komba
Mmefunga chuo naona😀Na wenyewe ndio wanaipadua kama hivi sasa🤣🤣
Mbona hapo hamjasema, mtaita majina yote mwaka huu🤣🤣Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika kwenye uchaguzi wao kuwa hamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole😂
Hivi kobaz wote ni mboga mboga?Naona Bavicha wanajiliwaza na kujifariji😀
Yaani unatafuta cha kuzodoa unakosa vile ukweli unavyochoma mpaka mnataka kurudisha chenchi😝😝Mmefunga chuo naona😀
Chochea kuni......Chadema yasambaratika.Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.
Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂
Kijani toa neno raia tupone
TAL anacheka hadi meno 32 nje akiwa selo.Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.
Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂
Kijani toa neno raia tupone
Umesikia hii kuna watu leo wamepigiwa kura wakiwa makwao.😁😁😁😁😁Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.
Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣 mpasuko umehamia sebuleni kwa baba aaah nimesahau kwa mama😆😆😆.
Ukitaka kujua unafiki ni mwingi mashabiki maandizi wote kimyaaaa, yaani bodi ya ithibati yote imetulia, fa mchezo kibarua kuota nyasi😂😂
Kijani toa neno raia tupone
Mimi nilizani watashangilia uo mpasuko wa CCM, lkn cha kushangaza wanaudhunika!!, hawaeleweki hawa wachoma Mabango aise.Naona Bavicha wanajiliwaza na kujifariji😀
Kwani imekuaje,huko kapita? Je mchujo wa wabunge ukoje??Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa.