aziz habib
Member
- Mar 13, 2015
- 79
- 95
atakuwa prime ministerSio riz tena?🤣
Nyerere alitawala miaka 23 na ktk miaka yote hiyo serikali zake zote ziliitwa awamu ya kwanza unajua ni kwa sababu gani?Sasa kwanini walikomalia iitwe serikali ya awamu. ya sita?
Nani kasema Mjema ni mbunge wa Same mashariki mkuu?Anaitwa Miryam Mjema, Mbunge wa Same Mashariki huko kaskazini tunakoamini kuna watu wenye akili sana
Unavuta bangiatakuwa prime minister
Malizia ...mleta mada ni ....
Khaaa kumbe hizi nyazifa mnapeanaga sio kwamba kura ndo huamua. Kazi tunayo watanganyikaahahaha,mtajijua wenyewe ila lazima amalize awamu yake hadi 2035....akitoka tunampa Abdul inshallah
Wewe katika kuhalalisha Jambo lenu umesema alikuwa anamalizia awamu ya Magufuli. Hiyo ilikuwa awamu ya tano raisi wa tano.Nyerere alitawala miaka 23 na ktk miaka yote hiyo serikali zake zote ziliitwa awamu ya kwanza unajua ni kwa sababu gani?
Siku zote unaamini watu wa kaskazini Wana akili sana!?..pole aiseeAnaitwa Miryam Mjema, Mbunge wa Same Mashariki huko kaskazini tunakoamini kuna watu wenye akili sana
Anaitwa Miryam Mjema, Mbunge wa Same Mashariki huko kaskazini tunakoamini kuna watu wenye akili sana
Ila Kipindi hiki ni kama hakugombea 🐼Lakini katiba inasema kama ameupata urais mtangulizi wake akiwa hajafikisha nusu ya muhula basi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu, maana yake kama Magufuli angekuwa amefikisha miaka miwili na nusu katika ile mitano ndiyo angeruhusiwa kugombea awamu mbili. So kwa mujibu wa katiba hafuhusiwi.
Ukweli ni kwamba siioni future ya kizazi Cha Tanzania kwa miaka mingine ijayo....
Katiba yetu ni takataka kuruhusu mtu mjinga kama samuya kuwa rais wetuHuu ndo muhula wa kwanza make ule alikuwa anamalizia wa Magufuli