Black Legend
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 211
- 368
Mzee Mgaya anakupoteza sana, hebu mkimbie kwa wepesi sanaCCM ni Chama kikuu cha Africa 🐼
Mh!CCM wamekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
hivi wewe kama sio karani wa ccm sijakoseaCCM ni Chama kikuu cha Africa 🐼
I mean new constitution....sijaegemea chama chochote..acha kupotosha. Ndio maana WAKENYA wanatuona brainless coz hatujikiti kwenye msingi wa hoja. Poor you😡CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Wakenya unawaona Wana akili,watu wanakula mirungi kutwa na kufunga kula wafe Ili waonane na yesu!!?..unadai hunaegemea chama, really!!?..huna chama unataka katiba ibadilike, ibadilike wapi!!I mean new constitution....sijaegemea chama chochote..acha kupotosha. Ndio maana WAKENYA wanatuona brainless coz hatujikiti kwenye msingi wa hoja. Poor you😡
Katiba ya nchi wameachiwa chadema, Lissu rais 2025-30. Hapo ndo katiba ya nchi itarekebishwa.Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...
Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.
Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ni wezi wanaogopa kwenda jelaKwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...
Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.
Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mental malfunction......You still don't understand,,,,talk about the core of the presented issue....not a person.Wakenya unawaona Wana akili,watu wanakula mirungi kutwa na kufunga kula wafe Ili waonane na yesu!!?..unadai hunaegemea chama, really!!?..huna chama unataka katiba ibadilike, ibadilike wapi!!
Hujui kuwa katiba ikibadilishwa ndio anguko lao?!Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...
Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.
Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
You again!!!???CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Marekebisho gani imefanya, maana unaweza kufanya marekebisho lakini si ya msingi.CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Ili yawe ya msingi inabidi yaweje?Marekebisho gani imefanya, maana unaweza kufanya marekebisho lakini si ya msingi.
Kwa taarifa yako ambao wanakataa marekebisho ya sheria mbovu za uchaguzi wamekopa trillions 30+ kwa miaka mitatu tu na taarifa ya CAG kwa mwaka jana walitumia billions 500+hovyo hovyo....na hela wanapitishia Zanzibar yenye idadi ya watu 1,300,000.CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi