PreGE2025 CCM yarekebisha Katiba yake, kwanini ya nchi wanakwama?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa taarifa yako ambao wanakataa marekebisho ya sheria mbovu za uchaguzi wamekopa trillions 30+ kwa miaka mitatu tu na taarifa ya CAG kwa mwaka jana walitumia billions 500+hovyo hovyo....na hela wanapitishia Zanzibar yenye idadi ya watu 1,300,000.
Nchi wameisha tafuna mbona na kila siku wanachouza ni rasilimali za Tanganyika siyo Zanzibar na wanatafuna hasa,kule mbuga ya wanyama mtandao unasoma EMIRATE ndani ya Tanganyika!
Kwa hiyo trillion 30 zimepitishiwa zanzibar!?..sgr,brt,mikopo elimu ya juu,ruzuku kilimo, miundombinu kilimo, hospital kujengwa, barabara..hivyo vyote unatoa wewe pesa mfukoni?
 
Kufanya mazuri ndio lengo la wananchi juu ya serikali yao....ila wanapifanya mabaya lazima hatua Kali zichukuliwe...why huongei hayo umekazana SGR...BRT sijui nk. So ujenzi wa hiyo miundombinu inahalalisha maovu ya kuwaibia wananchi??Mbona kama hueleweki 😡😡😡
 
Kwa hiyo trillion 30 zimepitishiwa zanzibar!?..sgr,brt,mikopo elimu ya juu,ruzuku kilimo, miundombinu kilimo, hospital kujengwa, barabara..hivyo vyote unatoa wewe pesa mfukoni?
Umeona wachina pale sgr? Hospitali wajawazito na watoto chini ya miaka 5 sasa wanalipa kinyume na sheria na sera.
 
CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Tunataka katiba MPYA siyo ya UCHAGUZI. Ni lini TUME ya UCHAGUZI imekuwa na k atiba?
 
Unajua hata unachokiuliza?
Ninachokishauri ni kwamba, katiba ya mwaka 1977 imepitwa na wakati Hivyo ni Bora UCHAGUZI uahiriswe Kwa muda wa mwaka 1 ili tufanye retreat kama nchi tupate katiba MPYA inayoendana na Karne ya sayansi na teknolojia.
 
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.

Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...

Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.

Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wanaogopa
 
Katiba iendane na AI au?..mahitaji ya mtanzania yamebadilika nini!!
 
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.

Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...

Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.

Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mabadiriko hayo yana manufaa kwa chama,katiba ya wananchi wote ni msumari wa moto kwa chama,
Wanajivunia vijana wengi wapo kwenye kubet na kushabekia mpira
 
CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
20250417_093236.jpg

Huku vipi unakuzungumziaje?
 
Kuna rais alisema majukumu ni mengi,yamemzidi?
Ndiyo, yupo. Wote tangu uhuru Hadi Leo. Rais wa Tanzania ni mgombea wa CCM,ni mamlaka ya uteuzi Hadi TUME ya UCHAGUZI anateua. Wewe huoni kwamba ana majukumu mengi? NRNE.
 
Back
Top Bottom