gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kwa hiyo trillion 30 zimepitishiwa zanzibar!?..sgr,brt,mikopo elimu ya juu,ruzuku kilimo, miundombinu kilimo, hospital kujengwa, barabara..hivyo vyote unatoa wewe pesa mfukoni?Kwa taarifa yako ambao wanakataa marekebisho ya sheria mbovu za uchaguzi wamekopa trillions 30+ kwa miaka mitatu tu na taarifa ya CAG kwa mwaka jana walitumia billions 500+hovyo hovyo....na hela wanapitishia Zanzibar yenye idadi ya watu 1,300,000.
Nchi wameisha tafuna mbona na kila siku wanachouza ni rasilimali za Tanganyika siyo Zanzibar na wanatafuna hasa,kule mbuga ya wanyama mtandao unasoma EMIRATE ndani ya Tanganyika!
Kufanya mazuri ndio lengo la wananchi juu ya serikali yao....ila wanapifanya mabaya lazima hatua Kali zichukuliwe...why huongei hayo umekazana SGR...BRT sijui nk. So ujenzi wa hiyo miundombinu inahalalisha maovu ya kuwaibia wananchi??Mbona kama hueleweki ๐ก๐ก๐กKwa hiyo trillion 30 zimepitishiwa zanzibar!?..sgr,brt,mikopo elimu ya juu,ruzuku kilimo, miundombinu kilimo, hospital kujengwa, barabara..hivyo vyote unatoa wewe pesa mfukoni?
Umeona wachina pale sgr? Hospitali wajawazito na watoto chini ya miaka 5 sasa wanalipa kinyume na sheria na sera.Kwa hiyo trillion 30 zimepitishiwa zanzibar!?..sgr,brt,mikopo elimu ya juu,ruzuku kilimo, miundombinu kilimo, hospital kujengwa, barabara..hivyo vyote unatoa wewe pesa mfukoni?
Tunataka katiba MPYA siyo ya UCHAGUZI. Ni lini TUME ya UCHAGUZI imekuwa na k atiba?CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Unajua hata unachokiuliza?Tunataka katiba MPYA siyo ya UCHAGUZI. Ni lini TUME ya UCHAGUZI imekuwa na k atiba?
Ninachokishauri ni kwamba, katiba ya mwaka 1977 imepitwa na wakati Hivyo ni Bora UCHAGUZI uahiriswe Kwa muda wa mwaka 1 ili tufanye retreat kama nchi tupate katiba MPYA inayoendana na Karne ya sayansi na teknolojia.Unajua hata unachokiuliza?
WanaogopaKwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...
Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.
Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Katiba iendane na AI au?..mahitaji ya mtanzania yamebadilika nini!!Ninachokishauri ni kwamba, katiba ya mwaka 1977 imepitwa na wakati Hivyo ni Bora UCHAGUZI uahiriswe Kwa muda wa mwaka 1 ili tufanye retreat kama nchi tupate katiba MPYA inayoendana na Karne ya sayansi na teknolojia.
Wewe umefaidika na nini Kwa katiba hii ya sasa? Tumpunguzie Rais majukumu maana ni mengi.Katiba iendane na AI au?..mahitaji ya mtanzania yamebadilika nini!!
Mabadiriko hayo yana manufaa kwa chama,katiba ya wananchi wote ni msumari wa moto kwa chama,Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa limekuwa katika mapito ya vipindi mbalimbali ya kimabadiliko...
Kufanya reform ya KATIBA ya nchi yetu ni kitu kinachohitajika saana kuliko kitu chochote kwa Sasa Ili tuliponye Taifa hili.
Viongozi wakiendelea kushipaza shingo na kiburi cha madaraka, muda utawakimbia na mambo yakiharibika watakuwa wa kwanza kubeba lawama. It's time for "CONSTITUTION REFORMATION".๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
CCM wamerekebisha katiba yao,katika ya nchi ilisharekebishwa mara nyingi tu,sema mnataka marekebisho ya uchaguzi (tume huru) mkiamini mtapata madaraka,mtafune nchi
Kuna rais alisema majukumu ni mengi,yamemzidi?Wewe umefaidika na nini Kwa katiba hii ya sasa? Tumpunguzie Rais majukumu maana ni mengi.
Ndiyo, yupo. Wote tangu uhuru Hadi Leo. Rais wa Tanzania ni mgombea wa CCM,ni mamlaka ya uteuzi Hadi TUME ya UCHAGUZI anateua. Wewe huoni kwamba ana majukumu mengi? NRNE.Kuna rais alisema majukumu ni mengi,yamemzidi?