CCM yasema haitorudi nyuma uwekezaji wa bandari

Kidokezo: Katika kashfa ya manunuzi ya rada, Uingereza ilishtaki na kuhukumu kampuni yao ya BAE kuilipa Tz fedha iliyolipwa zaidi ya bei halali kutokana na rushwa.
Je, hadi leo CCM na serkali zake imechukuwa hatua gani kwa maofisa wake wakiwamo makada waliopokea rushwa?
Hivyo CCM wana sifa gani kudai wao waaminiwe kikamilifu Katika hili la Dubai DP W?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…