The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
ImewakataKvma la mama yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ImewakataKvma la mama yako
Yaani msiingie kwenye mgongo wa wanasiasa kupigania maslahi ya wanasiasa?!Hii nchi vijana tusipo amka na kudai nchi yetu iliyopokwa na wanasiasa
Tutakuja kuuzwa sisi na vizazi vyetu
Kama unafanya madudu utaiba chaguzi
Kama unafanya vizuri unaupiga mwingi Kama tunavyoaminishwa hauwezi kuiba chaguzi ndogo hizi!!!
Siasa alipozifikisha Samia ni sehemu hatari Sana
Solution iliyobaki vijana ni kuingia barabarani bila kuwa kwenye mgongo wowote wa wanasiasa
Tudai Taifa la uwajibikaji na Taifa la kizazi Cha kusema ukweli hata Kama inauma.
CCM ni janga la Taifa!!
Maslahi ya Tanzania kwanza wanaonufaika na mfumo mbovu ni wanasiasa maana Tanzania hakuna vyama vya upinzani Ila Kuna watu wapinzaniYaani msiingie kwenye mgongo wa wanasiasa kupigania maslahi ya wanasiasa?!
Kwanza watu wapate kula au ufisadiMimi huwa sielewi kwanini tunapoteza mabilioni ku organise uchaguzi wakati tumeshaamua nani ashinde. Ni vizuri hata mwakani tuambiwe tu uchaguzi wa ndani wa CCM ukiisha basi ndio huyo huyo awe mbunge na Rais kuliko hizi hasara na mabilion yanayoteketezwa.
Mama Samia alianza vizuri sijui shida gani imempata naye anarudia yale yale aliyokosoa kuhusu chaguzi za 2019 na 2020. Sijui lini akili ya mtu mweusi itabadilika
Jitizame ww ulivyo Kisha jisemee moyon hapa natenda dhambi ya uongo , ccmu wangekuwa makini bas ungekuwa unaandika namna ccmu walivyoukwamua umaskin , ujinga na maradhi kwenye jamii yakokwa dhati kabisa nakipongeza chama cha mapinduzi kwa ushindi mnono wa kile kilicho itwa uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji.
Ccm imeonesha ni kiasi gani upo makini hasa kwenye kusimamia dola yao,ccm ni chama makini kisicho yumbishwa na kalele za wahuni wanaojiita vyama vya upinzani.
vyama vya kihuni kama Act,chadema,cuf,Nccr nk vimeonyesha ni kiasi gani ni vyama vya wahuni vinavyo endeshwa na wahuni.
kitendo cha kushiriki mchakato wa uchaguzi na uchaguzi huu ni kukubali kushiriki uhuni
vyama vinavyo jiita vya upinzani vinafisha matumaini ya watz.Unaandika huku nafsi inakusuta.
Wahuni ni wale wanaovaa suti huku ni watekaji, wauji, majambazi na majizi ya kura.vyama vinavyo jiita vya upinzani vinafisha matumaini ya watz.
na ccm inatuonesha ni kiasi gani hivi vyama vinavyo jiita vya upinzani ni vyama vya kihuni.