LGE2024 CCM yashinda kwa 100% Moshi Manispaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kwa asilimia 100 kwenye nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024.

Mwajuma ameyasema hayo wakati akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi katika Manispaa hiyo.
Your browser is not able to display this video.
 
CCM wanajisifia upumbavu! Huwezi kuwakata wenzio halafu uje useme umeshinda kwa asilimia mia. CCM ni chama la mapumbavu!
 
Unapigana na mpinzani aliefungwa miguu na mikono alafu unajitapa umeshinda!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…