Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Kirusi chenye Uadui kama si Chuki na Mwenyekiti ambaye pia ni Rais wa Tanzania Samia kipo katika Mkakati ulio Maalum wa Kumyumbisha hadi Kumgombanisha na Umma ila ama anakilea kwa Kukiogopa au bado hajakijua.Gazeti limeongea Kama Nani wakati mwenye chama yupo Dani!? Mbisa karuhus vip hii itokeeee [emoji28]
Hapa sielewi, mlalamikaji Nani?Katibu mkuu CCM alifungia Uhuru?
Ni gazeti lake. Sasa anafunga nyumba yake, mijitu inalalamika nini? Akitaka anaweza hata kuibomoa kabisa akiona haifai imeingiliwa na mizimu.Yeye ni Waziri wa Habari?
Sio sheria,Ni gazeti lake. Sasa anafunga nyumba yake, mijitu inalalamika nini? Akitaka anaweza hata kuibomoa kabisa akiona haifai imeingiliwa na mizimu.
Ni Lugha Tu za Kibabe, Ukisoma Katiba Ya Ccm, Mali zote za Chama Ziko Under Custody ya Body Of Trustees, Na Wao ndio wanaotoa Kusudio la Kutochapisha Habari more than 7 days na Sio KM wa CCM.Huko ni kulifungia au kulizuia lisitoke. Sababu mmiliki akiamua kutokulitoa gazeti lake hata kwa mwaka sidhani kama ni kulifungia.
Ni kama mtu akiamua kujiweka lockdown nyumbani kwake, sidhani kama hapo atakuwa amefungiwa bali ameamua kujifungia mwenyewe ?
... ndoto za chama kushika hatamu!Yeye ni Waziri wa Habari?
MkuuKwa sheria ipi inayompa nguvu ya kufungia chombo chochote cha habari kama katibu wa chama cha kisiasa???? Mtoa uzi weka chanzo kabla katibu wangu wa kikundi hajakufungia pia kwa upotoshaji huo
Hata Kama Wao hawana Mamlaka ya kulifungia Bali Wana Mamlaka ya Kusitisha Uchapishaji TuMkuu
Kumbuka hili ni gazeti LA chama
mhariri ahapolifungia gazeti lake - wengine chukueni jembe mkalime.DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025.
GAZETI LA UHURU LIMEFUNGUWA SIKU SABA
😅😅😅😅😅😅😅
Uhuru wa vyombo vya habari saizi uko huru.
... Mkuu, ule m-AirBus 320 sio mchezo! Mdege wa zadi ya watu 200 unalitumia wewe na wapambe wako wasiozidi 25 ni balaa. Hata kama hukuwa na wazo la kuongeza muda wa uongozi lazima utabadili mawazo; hizo raha unazotumbua kwa tozo za wananchi ni habari ingine. Nina uhakika saa hizi anatamani "kufia madarakani" kama ingewezekana! Bila KATIBA BORA hata aje malaika kuongoza nchi hii ni ubatili!VITA YA ULAJI.
KUMBE HUYU MAMA NA YEYE ANA TAMAA YA FISI NAMNA HII?
YAJAYO YANAHUZUNISHA.
Kikubwa MBOWE SIO GAIDIHaya maigizo hayana mvuto