Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
Mambo vp wakuu..
Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM..
Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za kufanya watu wafatilie yanayoendelea kwenye chama..
Kwa lugha ya mitaani tunasema chama kimetafuta kiki ya jambo lao liwe trend na watu wajue kinachoendelea kwenye chama..
Hii content Yao Ina matokeo mawili ya kupokelewa vizur na mapokeo mabaya..
Kwa mapokeo mazuri ni imefanya watu wafatilie na wajue kwenye majimbo wanayoishi ni nani na nani wamechukua fomu na atataka kujua baada ya wajumbe kufanya Yao je atabaki nani kama mgombea rasmi ??
Pia itaonekana vijana wanaamka kutaka kuleta mabadiliko.
Ila kwa mapokea mabaya
Wananchi wengi wanaona kama bunge limefanywa kama casino..
Chama kimekuwa chama cha masela kigezo uwe na followers wengi insta basi unavigezo vya kuchukua fomu kwenye chama..
Mimi Km camera man.
Content creators.
Graphics designer.
Carpenter.
Na electrician..
Naomba kuwasilisha hili..
Nipeni kaz maboss zangu mm fomu siendi kuchukua na uzio na siasa..
ntakomaa na talanta zangu tu mtaani 🤪