The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
TUMEWAPIGA HADI MMECHANGANYIKIWA. TULIPOSEMA HADI 2020 TUTAIFUTA CHADEMA TULIMAANISHA.Yaende yakauane yenyewe kwa yenyewe MAHINTARAHAMWE makubwa haya.
Hakuna kitu kama hicho, Kama ni namba wataisoma namba ndugu na jamaa zako mtaani unaofikiri labda mkono wa chuma utawaacha nyuma.BULSHTTUMEWAPIGA HADI MMECHANGANYIKIWA. TULIPOSEMA HADI 2020 TUTAIFUTA CHAD3EMA TULIMAANISHA.
Development is all about contradict?Mambo Chap chap… Development is all about contradict. Tuleteeni Maendeleo Maana wapinzani walitukwamisha sana. Tanzania kama Roma vile...Let us wait and see...Yajayo ni Raha tu...
yes kwani ulitaka mtu akae na foumu mwezi mzima?Hao wanaoomba 'kufikiriwa' na chama ni watu gani?
Fomu ni kuchukua, kujaza na kurejesha siku moja!
Kuna kitu nimejifunza katika ulimwengu huu. Unavyonfanyia mwenzako kama ni mazuri au mabaya, tegemea nawe kuyakuta huko mbele ya safari ukifanyiwa hivyo hivyo.Hii ni Chama kushika hatamu. Very soon wataanza kuparurana na kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe hasa kwenye nafasi za Umeya wa Jiji na Uenyekiti wa Halmashauri
Spika Ndugai alisema chadema wakirudi watatu bungeni wakatambike. Wenye kuona mbali waliwaambia mkaendeleza pingapinga Fc, Sasa mnalalamika.Yaende yakauane yenyewe kwa yenyewe MAHINTARAHAMWE makubwa haya.
Unaanza kuchoma kibanda mkuuNinaomba Chama cha Mapinduzi waanze mapema kutangaza nafasi ya kiti cha Uspika na naibu Uspika wa bunge la JMT, aidha ningemuomba Mh Dr Tulia Jackson Mwansasu aombe nafasi hiyo katika nafasi ya Uspika na Mh Zungu aombe unaibu Uspika.
Usidhani kama umewapiga Chadema au vyama vya siasa peke yake. Na wewe mwenyewe umeshapigika sana. Mfano mdogo tu hivi wewe ungekuwa mfanyakazi wa sekta rasmi na sasa una staafu, kikotoo cha kulipwa 25% only wakati huna nyumba kitampiga wa Chadema peke yake??? Funguka ndugu hii ni nchi yetu sote. Sera ni msumeno na sera mbaya ni panga kwa woote bila kujali umepigaje.TUMEWAPIGA HADI MMECHANGANYIKIWA. TULIPOSEMA HADI 2020 TUTAIFUTA CHADEMA TULIMAANISHA.
Ndugai mwenyewe kwa afya yake huu mwaka haumalizi. Mafigo yameshaanza kuvimba tena na uso umepanuka kama tairi ya scania. Boss wake mwenyewe kuna muda anakata moto kisha moto unarudi. Hawa wote PARAPANDA italia muda si mrefu.Spika Ndugai alisema chadema wakirudi watatu bungeni wakatambike. Wenye kuona mbali waliwaambia mkaendeleza pingapinga Fc, Sasa mnalalamika.
Mmehama kwenye uchaguzi mnaanza afya za watu. Kipigo Cha shoga mwizi Kiko pale pale.Ndugai mwenyewe kwa afya yake huu mwaka haumalizi. Mafigo yameshaanza kuvimba tena na uso umepanuka kama tairi ya scania. Boss wake mwenyewe kuna muda anakata moto kisha moto unarudi. Hawa wote PARAPANDA italia muda si mrefu.