CCM yatangaza fursa kwa wanachama wake wenye dhamira ya kuomba dhamana ya nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya nk

CCM yatangaza fursa kwa wanachama wake wenye dhamira ya kuomba dhamana ya nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya nk

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.

Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.

photo_2020-11-02_10-39-51.jpg
photo_2020-11-02_10-39-51 (2).jpg
 
TUMEWAPIGA HADI MMECHANGANYIKIWA. TULIPOSEMA HADI 2020 TUTAIFUTA CHAD3EMA TULIMAANISHA.
Hakuna kitu kama hicho, Kama ni namba wataisoma namba ndugu na jamaa zako mtaani unaofikiri labda mkono wa chuma utawaacha nyuma.BULSHT
 
Hao wanaoomba 'kufikiriwa' na chama ni watu gani?

Fomu ni kuchukua, kujaza na kurejesha siku moja!
 
Hii ni Chama kushika hatamu. Very soon wataanza kuparurana na kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe hasa kwenye nafasi za Umeya wa Jiji na Uenyekiti wa Halmashauri
 
Ninaomba Chama cha Mapinduzi waanze mapema kutangaza nafasi ya kiti cha Uspika na naibu Uspika wa bunge la JMT, aidha ningemuomba Mh Dr Tulia Jackson Mwansasu aombe nafasi hiyo katika nafasi ya Uspika na Mh Zungu aombe unaibu Uspika.
 
Hii ni Chama kushika hatamu. Very soon wataanza kuparurana na kushikana uchawi wenyewe kwa wenyewe hasa kwenye nafasi za Umeya wa Jiji na Uenyekiti wa Halmashauri
Kuna kitu nimejifunza katika ulimwengu huu. Unavyonfanyia mwenzako kama ni mazuri au mabaya, tegemea nawe kuyakuta huko mbele ya safari ukifanyiwa hivyo hivyo.

Hiyo inaitwa baraka kama ulitenda mema na laana kama ulitenda mabaya. kinachonishangaza laana inakula mpaka kizazi chako. Kama umetenda mema au mazuri basi utapolkea malipo yake iwe leo au kesho lakini kuna siku tu utapata malipo yake.

Endelea kutenda mema na katu epuka kutenda maovu kulinda kizazi chako.
 
Ninaomba Chama cha Mapinduzi waanze mapema kutangaza nafasi ya kiti cha Uspika na naibu Uspika wa bunge la JMT, aidha ningemuomba Mh Dr Tulia Jackson Mwansasu aombe nafasi hiyo katika nafasi ya Uspika na Mh Zungu aombe unaibu Uspika.
Unaanza kuchoma kibanda mkuu
 
Siyo muda mrefu ma-CCM yatajigundua kuwa wote ni Vipofu na kwa kawaida kipofu hawezi mwongoza kipofu mwenzake
 
TUMEWAPIGA HADI MMECHANGANYIKIWA. TULIPOSEMA HADI 2020 TUTAIFUTA CHADEMA TULIMAANISHA.
Usidhani kama umewapiga Chadema au vyama vya siasa peke yake. Na wewe mwenyewe umeshapigika sana. Mfano mdogo tu hivi wewe ungekuwa mfanyakazi wa sekta rasmi na sasa una staafu, kikotoo cha kulipwa 25% only wakati huna nyumba kitampiga wa Chadema peke yake??? Funguka ndugu hii ni nchi yetu sote. Sera ni msumeno na sera mbaya ni panga kwa woote bila kujali umepigaje.
 
Spika Ndugai alisema chadema wakirudi watatu bungeni wakatambike. Wenye kuona mbali waliwaambia mkaendeleza pingapinga Fc, Sasa mnalalamika.
Ndugai mwenyewe kwa afya yake huu mwaka haumalizi. Mafigo yameshaanza kuvimba tena na uso umepanuka kama tairi ya scania. Boss wake mwenyewe kuna muda anakata moto kisha moto unarudi. Hawa wote PARAPANDA italia muda si mrefu.
 
Mmehama kwenye uchaguzi mnaanza afya za watu. Kipigo Cha shoga mwizi Kiko pale pale.
 
Back
Top Bottom