Elections 2010 CCM yatoa mkong'oto kwa vyama vya upizani TANGANYIKA

Mkunduuuu...................................
 
kwani mmesahau jamaa ni mgonjwa?? kelele za nini subiri anaweza kuanguka hata siku ya kuaapishwa. Mungu yupo
 
Mwiba naamini umekosea kichwa cha habari, inabidi kisomeke.
" CCM yatoa mkong'oto kwa wananchi TANGANYIKA ."

Kwani wao ndio waliofanya maamuzi kwa kupigia upinzani kwa madiwani, wabunge na raisi wa upinzani na CCM ikawapora ushindi wao. Fikirisha kidogo tu kichwa chako, pale Arusha wakati wa kudai vurugu au pale Loyola kituoni-Ubungo, Mwanza kwenye jimbo la Ihemela,n.k waliokesha kituoni kulinda kura na baadae kudai haki yao hadi kupigwa mabomu si Dr.Slaa, si Freeman Mbowe, si Zitto Kabwe, si Wenje, si Mnyika bali ni wananchi.

Ama kwa hakika CCM imewapa mkong'oto wananchi wa Tanzania. Ningekuwa mimi ndie moderator wa hii forum, nadhani ningebadilisha kichwa cha habari kisomeke hivyo!
 
Huku ndio kuyupeleka Bagdad sasa, Tanzania Tanzania Nakupenda Tanzania...!

Acha kuongea uharo.
Nyie ndo mnapigiwa kampeni huku CCM wanawawashia TV na kuonyesha movies za kivita then wanawaambia eti mkimchagua DR Slaa ataleta vita...

Shame on u
 

Hivi kwenu zenji nyie kafa ni chama cha upinzania? Ninachojua chama kikuu zenji kinaitwa mwafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…