CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
#SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga.

Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi.
 

Attachments

  • -743526267.jpg
    -743526267.jpg
    56.4 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1678477491631.jpg
    FB_IMG_1678477491631.jpg
    127.5 KB · Views: 7
Back
Top Bottom