Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Kama kina Katambi walivyotuvua nguo chadema juu ya matumizi mabaya ya ruzuku..

Heil JPM
 
Kama kina Katambi walivyotuvua nguo chadema juu ya matumizi mabaya ya ruzuku..

Heil JPM
Haikusaidii kitu kuondoa hii clip ya mzee wa kijijini kabisa kuamua kuikataa ccm.

Kaamua kufanya hivyo hadharani tena mbele ya viongozi wenu, na ujue huyo ni mwakilishi wa wana vijiji wengi sana.

Ccm huu ndiyo mwisho wenu maana ngome yenu tayari imeingia sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna CCM ya miaka ya 62 wewe hata awe kikongwe huyo mzee mjinga tu huyo

Kuna wajinga vijana na wako wazee wajinga huyo ni mzee mjinga
Tanu na ccm ni kitu kilekile, mbona Tanganyika hampendi kuitaja na wakati Tanu kilikuwa chama cha Tanganyika?
 
naitunza comment yako nitaunganisha na "tumeibiwa kura"..[emoji3]

Viva Magu
Heil JPM
 
Hivi wewe YEHODAYA ukibatizwa Leo kuitwa Ndugai basi YEHODAYA anakuwa amekufa?
TANU ndio CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…