Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tuwaambie tu CCM mitaa imewakataa sanaa! Mmeifanya nchi kuwa ngumu sana mambo ya hovyo yamekuwa mengi sana, maisha yamepanda yani yamezidi kuwa magumu
Ila wenzetu nyie mnakula raha tu
=============
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Mei 7,2026 imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pamoja na mambo mengine Halmashauri Kuu ilifanya tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kujadili hali ya kisiasa nchini.
Soma Pia: CCM yavipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri Oktoba 29
Inaunga mkono pendekezo la Kamati Kuu kutoka katika kikao chake cha tarehe 28-29 Aprili, 2026, la kufanya tathmini ya kina ya Chama Cha Mapinduzi kwa lengo la kukiimarisha, kuchukua hatua thabiti za kukiboresha kimuundo, kiutendaji na kiuchumi.