CCM yavunja rekodi Mkutano wa kufunga Kampeni Migoli Isimani

CCM yavunja rekodi Mkutano wa kufunga Kampeni Migoli Isimani

Namtaka huyo Green Guard wa kike mwenye kijungu.
Nampataje Dalali ?
 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amehitimisha mikutano ya kampeni za Uchaguzi Mdogo katika Kata ya Idodi kwa kuwaomba wananchi wa Kata hiyo kujitokeza kwa wingi kupiga kura za Ndiyo kwa CCM katika uchaguzi utakaofanyika Juni Mosi, 2026 ili kumpa nafasi ya kuyatekeleza kwa vitendo yote aliyowaahidi wananchi wa Ismani katika kata zote 13.

Mkutano huo wa Kampeni umehidhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali akiwemo Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni CCM Taifa Ndugu. Issa Ussi Gavu ambao wote kwa pamoja walitumia nafasi hiyo kumuombea kura za Ndiyo Mgombea wa Ubunge Emmanuela Mtatifikolo.

Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la a Ismani zilizinduliwa rasmi Mei 11, 2026 ambapo Vyama takribani 17 vilijitokeza kushiriki na kuhitimishwa rasmi Mei 31,2026.View attachment 3598707View attachment 3598708View attachment 3598710View attachment 3598711View attachment 3598713View attachment 3598715View attachment 3598717View attachment 3598719View attachment 3598720View attachment 3598721View attachment 3598722View attachment 3598723View attachment 3598725View attachment 3598726View attachment 3598727
Yaan Ningumu San watanzania kujitambua
 
Screenshot_20260601-123733 (1).jpg

Kijicho Mbwa....!!!​
 
Back
Top Bottom